Macho ya mashabiki wa soka duniani yatakuwa kwenye mchezo wa Kundi A wa Kombe la Dunia 2026 utakaowakutanisha Argentina na Austria katika pambano lenye mvuto mkubwa. Mbali na ubora wa wachezaji waliopo pande zote mbili, mchezo huu unaingia kwenye historia kama mkutano wa kwanza rasmi kati ya mataifa haya mawili, zaidi ya miongo mitatu tangu yalipokutana mara ya mwisho katika mchezo wa kirafiki..... download Xtra 90 App



