Maandalizi ya michuano ya AFCON 2027 yanaendelea kushika kasi jijini Arusha huku ujenzi wa uwanja mpya wa kisasa ukiendelea kunoga siku hadi siku.
Muonekano wa uwanja huo unaonyesha hatua kubwa ya maendeleo, jambo linaloibua matumaini makubwa kwa Watanzania kuelekea mashindano hayo ya kihistoria Serikali kwa kushirikiana na wakandarasi imeendelea kusisitiza kuwa mradi huo unaenda sambamba..... download Xtra 90 App



