Baada ya kuandika historia nchini Morocco na kuibua hisia za furaha na fahari kwa Watanzania wengi, Timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys, imeanza rasmi maandalizi ya majukumu yanayofuata kwa kufungua mazoezi katika Uwanja wa Gymkhana jijini Dar es Salaam. Kikosi hicho kimeanza programu ya maandalizi kuelekea mechi tatu za kimataifa za kirafiki zinazotarajiwa kuchezwa mwezi..... download Xtra 90 App



