Je, fainali ya Kombe la Shirikisho itarejea Dar es salaam?

Jairo Mtitu By Jairo Mtitu β€’ 22nd June 2026

Je, fainali ya Kombe la Shirikisho itarejea Dar es salaam?

Baada ya Simba SC na Azam FC kufuzu fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank msimu wa 2025/26, mjadala mkubwa sasa umehamia kwenye uwanja utakaotumika kuchezwa pambano hilo la Julai 4, 2026.

Kwa misimu miwili mfululizo, fainali hiyo imefanyika Zanzibar katika dimba la New Amaan Complex, lakini safari hii wadau wengi wa soka wanaona ni wakati muafaka wa kuirejesha Dar es Salaam, jiji..... download Xtra 90 App

More Stories

Maema sasa ni uhakika Msimbazi, kutua wakati wowote

Today, READ MORE β†’
Kamwe atamba: Yanga itafunga usajili Jumapili

Real Madrid yamnyakua Yan Diomande kwa Pauni Milioni 120

Rodri awafungulia milango Barcelona baada ya Real Madrid kusuasua

Yanga wakutana na Gaborone United, Simba wakabidhiwa Mighty Wanderers CAF Champions League

Singida Black Stars wapangwa kuanza dhidi ya Al Ghazala SC CAF Confederation Cup

Azam FC kuanzia hatua ya pili, kusubiri mshindi kati ya ZED FC na ASAS Djibouti Telecom

Victor MuΓ±oz aripoti mazoezini Liverpool baada ya kutwaa Kombe la Dunia

Yanga yazindua jezi za msimu 2026/27
Yanga yazindua jezi za msimu 2026/27
Today, READ MORE β†’
Yanga Day kupambwa na mchezo wa kimataifa dhidi ya Aigles du Congo