Ligi Kuu : Mechi za mwisho kuchezwa muda mmoja

Joel JJ By Joel JJ β€’ 22nd June 2026

Ligi Kuu : Mechi za mwisho kuchezwa muda mmoja

Ligi Kuu ya NBC inaelekea ukingoni ambapo Jumanne ijayo, Juni 30 ligi hiyo itafikia tamati kwa mechi za mzunguuko wa 30 kupigwa.

Bodi ya ligi imethibitisha kuwa mechi zote za raundi ya 28, 29 na 30 zote zitapigwa muda mmoja saa 10 jioni. Lengo ni kuhakikisha hakuna uwezekano wa upangaji wa matokeo.

Wakati kukiwa na vita kali kwenye mbio za ubingwa kati ya Yanga na Simba, chini ya msimamo pia kuwa vita kali ambapo mkapa sasa KMC pekee wakiwa tayari wameteremka daraja.

Mbeya City iko nafasi ya 15 tofauti ya alama moja tu dhidi ya Tanzania Prisons iliyo nafasi ya 14 na alama 26.

Kimahesabu kuanzia Dodoma Jiji inayoshika nafasi ya 8 na timu nyingine kushuka chini haziko salama.Β 

More Stories

Messi na historia Mpya Kombe La Dunia
Messi na historia Mpya Kombe La Dunia
Today, READ MORE β†’
Ligi Kuu : Mechi za mwisho kuchezwa muda mmoja
Ligi Kuu : Mechi za mwisho kuchezwa muda mmoja
Today, READ MORE β†’
Je, fainali ya Kombe la Shirikisho itarejea Dar es salaam?
Je, fainali ya Kombe la Shirikisho itarejea Dar es salaam?
Today, READ MORE β†’
Serengeti Boys Warejea Mzigoni
Serengeti Boys Warejea Mzigoni
Today, READ MORE β†’
Arusha yazidi kunoga, uwanja wa AFCON 2027 wachukua sura mpya
Arusha yazidi kunoga, uwanja wa AFCON 2027 wachukua sura mpya
Today, READ MORE β†’
IRAN : Taifa Linalopigana Ndani Na Nje Ya Uwanja
IRAN : Taifa Linalopigana Ndani Na Nje Ya Uwanja
Today, READ MORE β†’
Yanga Watafuta Majibu Ya Azam Zanzibar
Yanga Watafuta Majibu Ya Azam Zanzibar
Today, READ MORE β†’
Yanga sasa wana jukumu moja tu: Kulinda alama mbili Ligi Kuu
Yanga sasa wana jukumu moja tu: Kulinda alama mbili Ligi Kuu
Today, READ MORE β†’
Argentina na Austria kukutana kwa mara ya kwanza kihistoria kwenye mechi ya kimashindano
Argentina na Austria kukutana kwa mara ya kwanza kihistoria kwenye mechi ya kimashindano
Today, READ MORE β†’
Misri yaitandika New Zealand 3-1 yakaribia kufuzu 32 bora
Misri yaitandika New Zealand 3-1 yakaribia kufuzu 32 bora
Today, READ MORE β†’