Kombe la Dunia 2026 limeendelea kushuhudia ushindani mkali si tu kati ya mataifa yanayowania ubingwa, bali pia kati ya wa"> Kombe la Dunia 2026 limeendelea kushuhudia ushindani mkali si tu kati ya mataifa yanayowania ubingwa, bali pia kati ya wa">

Messi, Mbappe, Halland Wawasha moto vita kiatu Cha Dhahabu WC2026

Abdulrahman Said By Abdulrahman Said β€’ 23rd June 2026

Messi, Mbappe, Halland Wawasha moto vita kiatu Cha Dhahabu WC2026

Kombe la Dunia 2026 limeendelea kushuhudia ushindani mkali si tu kati ya mataifa yanayowania ubingwa, bali pia kati ya washambuliaji wakubwa wa kizazi hiki. Nahodha wa Argentina Lionel Messi, nyota wa Ufaransa Kylian Mbappe na mshambuliaji wa Norway Erling Haaland wameibuka kuwa vinara wa mjadala mkubwa katika hatua ya makundi baada ya kuonyesha uwezo mkubwa wa kufunga..... download Xtra 90 App

More Stories

Simba yaialika Polisi FC Kenya kunogesha Simba Day ya miaka 90
Simba yaialika Polisi FC Kenya kunogesha Simba Day ya miaka 90
Today, READ MORE β†’
Vini Jr aongeza mkataba wa miaka sita Real Madrid hadi 2032
Vini Jr aongeza mkataba wa miaka sita Real Madrid hadi 2032
Today, READ MORE β†’
CECAFA Kagame Cup 2026 kufikia tamati leo kwa fainali na mchezo wa mshindi wa tatu
CECAFA Kagame Cup 2026 kufikia tamati leo kwa fainali na mchezo wa mshindi wa tatu
Today, READ MORE β†’
Mossi atua MC Alger
Mossi atua MC Alger
Today, READ MORE β†’
Yanga yapigwa marufuku ya usajili na FIFA
Yanga yapigwa marufuku ya usajili na FIFA
Today, READ MORE β†’
Maema sasa ni uhakika Msimbazi, kutua wakati wowote
Maema sasa ni uhakika Msimbazi, kutua wakati wowote
Today, READ MORE β†’
Kamwe atamba: Yanga itafunga usajili Jumapili
Kamwe atamba: Yanga itafunga usajili Jumapili
Today, READ MORE β†’
Real Madrid yamnyakua Yan Diomande kwa Pauni Milioni 120
Real Madrid yamnyakua Yan Diomande kwa Pauni Milioni 120
Today, READ MORE β†’
Rodri awafungulia milango Barcelona baada ya Real Madrid kusuasua
Rodri awafungulia milango Barcelona baada ya Real Madrid kusuasua
Today, READ MORE β†’
Yanga wakutana na Gaborone United, Simba wakabidhiwa Mighty Wanderers CAF Champions League
Yanga wakutana na Gaborone United, Simba wakabidhiwa Mighty Wanderers CAF Champions League
Today, READ MORE β†’