Safari ya Senegal katika Kombe la Dunia 2026 imeingia kwenye hali ngumu baada ya kupoteza mechi yake ya pili mfululizo katika Kundi I, safari hii ikifungwa mabao 3-2 na Norway katika mchezo wa kusisimua uliochezwa New Jersey, Marekani.
Matokeo hayo yameiacha Senegal bila pointi yoyote baada ya michezo miwili, na sasa matumaini yao ya kusonga mbele yanategemea matokeo ya mchezo wa mwisho..... download Xtra 90 App



