Kiungo mkabaji wa Brazil, Casemiro amekamilisha rasmi uhamisho wake kwenda Inter Miami baada ya kumaliza mkataba wake na Manchester United, hatua inayomfanya kuwa nyota mwingine mkubwa kujiunga na klabu hiyo ya Ligi Kuu ya Marekani (MLS). Uhamisho huo umehitimisha safari ya miaka minne ya mchezaji huyo katika Uwanja wa Old Trafford na kufungua ukurasa mpya wa maisha yake ya soka nchini..... download Xtra 90 App



