Licha ya Lionel Messi kuendelea kuongeza mafanikio katika maisha yake ya soka, mjadala wa nani bora kati yake na Cristiano Ronaldo bado haujaisha miongoni mwa mashabiki duniani. Kila mafanikio mapya ya Messi yanaonekana kufufua tena mjadala huo ambao umeendelea kwa zaidi ya miaka 15.
Messi hivi karibuni ameandika historia mpya katika Kombe la Dunia 2026 baada ya kufikisha mabao 17 na kuwa..... download Xtra 90 App



