Timu ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 17, Serengeti Girls, leo itakuwa na kibarua kizito cha kuwania ubingwa wa #CECAFAU-17 dhidi ya Uganda katika mchezo wa fainali utakaopigwa kwenye dimba la #KMCComplex, Dar es Salaam.
Kikosi cha Tanzania kinachonolewa na Kocha msaidizi, Esther Chabruma kimefika fainali baada ya kuonyesha kiwango bora katika mashindano hayo, huku kikisaka kumalizia..... download Xtra 90 App



