Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe mara baada ya kuwasili Zanzibar, amesema kikosi hicho kimewasili Zanzibar kikiwa na lengo moja tu la kuhakikisha kinatwaa taji la NBC Premier League na kufuta maumivu ya kupoteza mbele ya Azam FC kwenye nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank.
Akizungumza baada ya kuwasili visiwani humo, Kamwe alisema Azam FC wamebaki na..... download Xtra 90 App



