Klabu ya JS Kabylie ya Algeria imeamua kuachana na winga raia wa Burkina Faso, Ecua Celestin (24), baada ya kumalizika kwa kipindi chake cha mkopo katika timu hiyo. Uongozi wa klabu hiyo pia umeamua kutotumia kipengele kilichokuwa kinairuhusu kumsajili moja kwa moja kutoka Young Africans SC.
Ecua alijiunga na JS Kabylie kwa matumaini ya kupata nafasi zaidi ya kucheza na kuendeleza kiwango..... download Xtra 90 App



