Masaa machache baada ya mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo kuelekea mchezo wa kesho Juni 24, Yanga SC na Azam FC zimeweka wazi maandalizi yao kabla ya kupambana katika Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar. Mchezo huo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na umuhimu wake katika mbio za ubingwa wa NBC Premier League.
Timu zote mbili zinaingia katika mchezo huu zikiwa..... download Xtra 90 App



