Klabu ya Simba SC leo imekutana na waandishi wa habari katika mkutano rasmi kuelekea mchezo wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sugar utakaochezwa kesho saa 10:00 jioni katika Uwanja wa Jamhuri. Mchezo huo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa huku timu zote zikiwa na malengo muhimu katika hatua hii ya msimu.
Akizungumza na wanahabari, Kocha Mkuu wa Simba, Steve Barker, amesema..... download Xtra 90 App



