Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe, amesema kikosi hicho kipo imara kiakili na kipo tayari kwa mchezo muhimu wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC katika Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.
Kamwe amewataka wanachama na mashabiki wa klabu hiyo kuendelea kuungana na timu katika michezo mitatu iliyosalia ya Ligi Kuu Tanzania Bara, akisisitiza kuwa nafasi ya kutwaa..... download Xtra 90 App



