Timu ya Taifa ya Ghana imeendelea kuonyesha uimara wake katika Kombe la Dunia 2026 baada ya kutoka suluhu ya 0-0 dhidi ya England katika mchezo ulioshuhudia Waingereza wakitawala kwa kiasi kikubwa bila kupata njia ya kutikisa nyavu.
England walitengeneza nafasi nyingi za kufunga katika dakika zote 90, lakini walishindwa kuzitumia ipasavyo mbele ya lango la Ghana. Nahodha na mshambuliaji..... download Xtra 90 App



