Miaka karibu mitatu ya majeraha, matibabu na mashaka huenda ikaelekea mwisho leo usiku wakati nyota wa Brazil, Neymar Jr., akitarajiwa kurejea uwanjani katika mchezo wa Kombe la Dunia 2026 dhidi ya Scotland kwenye Uwanja wa Hard Rock Stadium, Miami Gardens. Kurudi kwake kunakuja baada ya kipindi kigumu kilichomuweka nje ya uwanja kwa nyakati tofauti na kuzua mjadala mkubwa miongoni mwa..... download Xtra 90 App



