Wachezaji wa Burkina Faso wapigwa msasa wa uzalendo jeshini

Jairo Mtitu By Jairo Mtitu • 24th June 2026

Wachezaji wa Burkina Faso wapigwa msasa wa uzalendo jeshini

Timu ya Taifa ya Wanawake ya Burkina Faso, Les Étalons Dames, ipo katika kambi maalum ya Jeshi la SND Loumbila kwa mafunzo ya siku 10 yanayolenga kuimarisha uzalendo, nidhamu na mshikamano miongoni mwa wachezaji.

Mafunzo hayo yanafanyika chini ya uongozi wa kocha mkuu Pascal Sawadogo na benchi lake la ufundi, ikiwa ni sehemu ya mpango ulioanzishwa na Serikali ya Burkina Faso kwa timu zote za taifa kupitia Wizara ya Michezo.

Miongoni mwa wachezaji wanaoshiriki mafunzo hayo ni nyota wa Tausi FC, Judicaël Ouoba na Mounifatou Helbi, pamoja na mshambuliaji wa zamani wa klabu hiyo, Adama Congo. Mpango huo ulitangazwa mwezi Februari mwaka huu kwa lengo la kujenga uzalendo, kuongeza mshikamano na kuimarisha nidhamu kwa wanamichezo wanaowakilisha taifa lao

More Stories

Jangwani Kumekucha , Tarehe ya uchaguzi hadharani
Jangwani Kumekucha , Tarehe ya uchaguzi hadharani
Today, READ MORE →
Leo Tunaharibu mipango Yao ; KIFARU
Leo Tunaharibu mipango Yao ; KIFARU
Today, READ MORE →
Wachezaji wa Burkina Faso wapigwa msasa wa uzalendo jeshini
Wachezaji wa Burkina Faso wapigwa msasa wa uzalendo jeshini
Today, READ MORE →
Xabi Alonso Apata Usajili Wake wa Kwanza, ni Marco Palestra
Xabi Alonso Apata Usajili Wake wa Kwanza, ni Marco Palestra
Today, READ MORE →
Yanga, Azam Mikononi mwa Arajiga
Yanga, Azam Mikononi mwa Arajiga
Today, READ MORE →
ANARUDI : Brazil inapumua , Scotland inaomba Mungu
ANARUDI : Brazil inapumua , Scotland inaomba Mungu
Today, READ MORE →
Uchawi wa Ghana ulivyofanya kazi kwa Waingereza
Uchawi wa Ghana ulivyofanya kazi kwa Waingereza
Today, READ MORE →
Ronaldo aweka rekodi kombe la Dunia
Ronaldo aweka rekodi kombe la Dunia
Today, READ MORE →
Colombia ya Iduaza Congo Drc na Kutinga hatua ya mtoano
Colombia ya Iduaza Congo Drc na Kutinga hatua ya mtoano
Today, READ MORE →
Nkeng atajwa kuwa mbadala wa Sowah Simba
Nkeng atajwa kuwa mbadala wa Sowah Simba
Today, READ MORE →