Wachezaji wa Burkina Faso wapigwa msasa wa uzalendo jeshini

Jairo Mtitu By Jairo Mtitu • 24th June 2026

Wachezaji wa Burkina Faso wapigwa msasa wa uzalendo jeshini

Timu ya Taifa ya Wanawake ya Burkina Faso, Les Étalons Dames, ipo katika kambi maalum ya Jeshi la SND Loumbila kwa mafunzo ya siku 10 yanayolenga kuimarisha uzalendo, nidhamu na mshikamano miongoni mwa wachezaji.

Mafunzo hayo yanafanyika chini ya uongozi wa kocha mkuu Pascal Sawadogo na benchi lake la ufundi, ikiwa ni sehemu ya mpango ulioanzishwa na Serikali ya Burkina Faso kwa timu..... download Xtra 90 App

More Stories

Baba mzazi wa Lionel Messi, Jorge Messi afariki dunia
Baba mzazi wa Lionel Messi, Jorge Messi afariki dunia
Today, READ MORE →
Mosimane kuinoa Bafana Bafana
Mosimane kuinoa Bafana Bafana
Today, READ MORE →
TFF yatangaza viingilio Ngao ya jamii Zanzibar
TFF yatangaza viingilio Ngao ya jamii Zanzibar
Today, READ MORE →
Simba Day yaanza kwa kishindo, Mashabiki waitika Uwanja wa Uhuru
Simba Day yaanza kwa kishindo, Mashabiki waitika Uwanja wa Uhuru
Today, READ MORE →
Sundowns kustaafisha jezi ya Jayden Adams
Sundowns kustaafisha jezi ya Jayden Adams
Today, READ MORE →
Rodri kutua Barcelona ni suala la muda
Rodri kutua Barcelona ni suala la muda
Today, READ MORE →
SIMBA DAY 2026: Sherehe za Miaka 90 ya Simba Sc dimba la Uhuru
SIMBA DAY 2026: Sherehe za Miaka 90 ya Simba Sc dimba la Uhuru
Today, READ MORE →
Rayon Sports watawazwa kuwa mabingwa wa CECAFA Kagame Cup 2026
Rayon Sports watawazwa kuwa mabingwa wa CECAFA Kagame Cup 2026
Today, READ MORE →
Yanga yafafanua taarifa ya kufungiwa na FIFA
Yanga yafafanua taarifa ya kufungiwa na FIFA
Yesterday, READ MORE →
Henry David apewa mkataba Singida BS
Henry David apewa mkataba Singida BS
Yesterday, READ MORE →