Mtibwa Sugar leo wataikaribisha Simba SC katika mchezo muhimu wa NBC Premier League huku kila timu ikiwa na jambo kubwa la kupigania. Wenyeji Mtibwa wanatafuta pointi za kujinasua katika hatari ya kushuka daraja, wakati Simba wakisaka ushindi wa kuendelea kusalia kwenye mbio za ubingwa.
Mchezo huo unakuja wakati ambapo Mtibwa Sugar wanakabiliwa na presha kubwa ya matokeo kutokana na..... download Xtra 90 App



