Simba SC imepata ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa Uwanja wa Jamhuri, na kuendelea kujiweka katika nafasi nzuri kwenye mbio za kuwania ubingwa wa msimu huu.
Wekundu wa Msimbazi walianza mchezo kwa kasi na kufanikiwa kupata bao la kuongoza mapema dakika ya 9 kupitia penalti iliyofungwa na beki wa kimataifa wa Afrika Kusini,..... download Xtra 90 App



