Timu ya taifa ya Morocco imeendelea kuonyesha ubora wa soka la Afrika katika Kombe la Dunia 2026 baada ya kufuzu hatua ya 32 bora kufuatia ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Haiti katika mchezo wa mwisho wa Kundi C.
Katika mechi iliyochezwa jijini Atlanta, Morocco ililazimika kupambana kwa nguvu baada ya kujikuta ikipata wakati mgumu mbele ya na Haiti katika kipindi cha kwanza ikienda..... download Xtra 90 App



