Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe, ameibua mjadala mkubwa katika ulimwengu wa soka Tanzania baada ya kutangaza wazi kuwa Yanga watakuwa upande wa Azam FC kwenye Fainali ya CRDB Bank Federation Cup dhidi ya Simba SC.
Kamwe alitoa kauli hiyo wakati wa kikao cha waandishi wa habari baada ya mchezo wa Ligi Kuu uliowakutanisha Yanga na Azam FC visiwani Zanzibar. Licha ya ushindani uliopo kati ya..... download Xtra 90 App



