Tottenham Hotspur wamefikia makubaliano ya kumsajili kipa mwenye uzoefu mkubwa Martin Dubravka, ambaye anatarajiwa kujiunga rasmi na klabu hiyo katika dirisha hili la usajili. Makubaliano hayo yamekamilika, huku nyota huyo akitarajiwa kuongeza ushindani na uzoefu ndani ya kikosi cha Spurs.
Dubravka, ambaye amewahi kuzichezea klabu mbalimbali ikiwemo Burnley na Manchester United, anajiunga..... download Xtra 90 App



