Ulimwengu wa soka umechafuka mitandaoni baada ya kauli za Thierry Henry na Zlatan Ibrahimovi kuhusu Cristiano Ronaldo, ambapo mashabiki wamegawanyika kati ya kuziita kauli hizo za kitaalamu au kuzihusisha na historia ya binafsi dhidi ya nyota huyo.
Henry alinukuliwa akisema kuwa timu inahitaji mfumo wa kufunga mabao badala ya kutegemea mchezaji mmoja pekee, kauli ambayo imechukuliwa kwa..... download Xtra 90 App



