Mchezo wa ligi kuu ya NBC kati ya Simba SC dhidi yaSingida BS utapigwa katika uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, uliopo jijini Dar es Salaam.
Mchezo huo wa raundi ya 29 umepangwa kuchezwa Jumamosi saa 10 jioni, kama ilivyo kwa michezo mingine yote ya raundi hiyo ambayo pia itaanza kwa wakati mmoja.
Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa, michezo yote ya raundi ya 29 itachezwa saa 10 jioni,..... download Xtra 90 App



