Twiga stars yaanza maandalizi Wafcon 2026

Abdulrahman Said By Abdulrahman Said β€’ 25th June 2026

Twiga stars yaanza maandalizi Wafcon 2026

Timu ya Taifa ya Wanawake Tanzania, Twiga Stars, imeanza rasmi kambi ya maandalizi mjini Karatu kuelekea Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026 zitakazofanyika nchini Morocco mwezi Julai.

Kambi hiyo imewakutanisha wachezaji wa ndani na wale wanaocheza soka la kulipwa nje ya nchi huku benchi la ufundi likianza maandalizi ya mwisho kwa ajili ya mashindano hayo..... download Xtra 90 App

More Stories

Yanga yapigwa na Les Aigles Du Congo Yanga Day
Yanga yapigwa na Les Aigles Du Congo Yanga Day
Today, READ MORE β†’
Yanga yatangaza kuwaongeza mastaa mikataba
Yanga yatangaza kuwaongeza mastaa mikataba
Today, READ MORE β†’
Kamwe kuongoza shamrashamra za utambulisho Yanga
Kamwe kuongoza shamrashamra za utambulisho Yanga
Today, READ MORE β†’
Mabula kutangazwa Yanga leo?
Mabula kutangazwa Yanga leo?
Today, READ MORE β†’
Ni Yanga Day 2026: Uwanja wa Uhuru
Ni Yanga Day 2026: Uwanja wa Uhuru
Today, READ MORE β†’
Polisi Fc Kenya yatibua furaha Simba Day, yaichapa Simba 1-0
Polisi Fc Kenya yatibua furaha Simba Day, yaichapa Simba 1-0
Yesterday, READ MORE β†’
Suleiman Mwalimu arejea Simba, atambulishwa Simba Day
Suleiman Mwalimu arejea Simba, atambulishwa Simba Day
Yesterday, READ MORE β†’
Baba mzazi wa Lionel Messi, Jorge Messi afariki dunia
Baba mzazi wa Lionel Messi, Jorge Messi afariki dunia
Yesterday, READ MORE β†’
Mosimane kuinoa Bafana Bafana
Mosimane kuinoa Bafana Bafana
Yesterday, READ MORE β†’
TFF yatangaza viingilio Ngao ya jamii Zanzibar
TFF yatangaza viingilio Ngao ya jamii Zanzibar
Yesterday, READ MORE β†’