Nahodha wa TRA United, Nassry Kombo, amezua mjadala mkubwa baada ya kutoa kauli yenye uzito kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Yanga, akisisitiza kuwa timu yake haipo uwanjani kwa ajili ya kutimiza malengo ya klabu nyingine.
Kombo alitoa kauli hiyo alipoulizwa kuhusu baadhi ya mashabiki wanaoiona TRA United kama timu inayoweza kuzuia safari ya Yanga katika mbio za ubingwa...... download Xtra 90 App



