Timu ya Taifa ya Senegal itashuka dimbani leo dhidi ya Iraq katika mchezo wa mwisho wa Kundi I wa Kombe la Dunia 2026, ikiwa na lengo la lazima la kupata ushindi ili kuendelea kuwa na matumaini ya kufuzu hatua ya 32 bora.
Senegal imepoteza michezo yake miwili ya mwanzo, ikianza kwa kichapo cha mabao 3-1 dhidi ya Ufaransa kabla ya kufungwa 3-2 na Norway. Matokeo hayo yameifanya timu hiyo..... download Xtra 90 App



