Aliyekuwa Rais wa Wydad Athletic ya Morocco, Said Naciri, amehukumiwa kifungo cha miaka 10 jela baada ya kupatikana na hatia katika kesi kubwa ya kimataifa ya usafirishaji wa dawa za kulevya iliyotikisa taifa hilo.
Mahakama Kuu ya Morocco ilimtia hatiani Naciri kufuatia uchunguzi uliohusisha mtandao unaojulikana kama "Escobar of the Sahara", ambao umehusishwa na mfanyabiashara wa..... download Xtra 90 App



