Kenya imezidi kuonyesha kasi ya maandalizi yao kuelekea michuano ya #AFCON2027, huku ujenzi wa miundombinu muhimu ukiendelea. Mashabiki wa soka kutoka kila kona ya bara wanazidi kupata matumaini kwamba AFCON 2027 itakuwa ya kipekee zaidi kuwahi kutokea.
Uwanja huu mpya unatarajiwa kuwa kitovu cha burudani, mshikamano, na historia mpya ya soka barani Afrika. Dimba la Talanta Sports City..... download Xtra 90 App



