Mvutano umeibuka ndani ya kambi ya Uruguay kuelekea mchezo muhimu wa Kombe la Dunia 2026 dhidi ya Hispania. Taarifa zinaeleza kuwa baadhi ya wachezaji wakiongozwa na Federico Valverde wameanza kuhoji mbinu za kocha Marcelo Bielsa, huku wakitaka timu ibadili mfumo wa uchezaji katika mechi ijayo.
Kwa mujibu wa taarifa hizo, baadhi ya wachezaji wanaamini mazoezi ya Bielsa yamekuwa makali..... download Xtra 90 App



