England imepata pigo kubwa kuelekea mwendelezo wa Kombe la Dunia 2026 baada ya beki wake wa kulia, Reece James, kupata jeraha la misuli ya paja (hamstring) litakalomuweka nje kwa angalau mechi mbili zijazo za mashindano hayo.
Jeraha hilo linakuja wakati England ikisaka kuendelea na matokeo mazuri katika hatua ya makundi, huku James akiwa mmoja wa wachezaji muhimu katika safu ya ulinzi..... download Xtra 90 App



