Senegal imeandika historia mpya katika Kombe la Dunia la FIFA 2026 baada ya kuwa timu ya kwanza kutoka Afrika kufunga mabao matano katika mechi moja ya fainali za Kombe la Dunia. Simba wa Teranga walionyesha kiwango cha juu na kuichapa Iraq kwa mabao 5-0, ushindi ulioweka rekodi mpya kwa soka la Afrika kwenye mashindano hayo.
Baada ya kuanza kampeni yao kwa matokeo yasiyoridhisha, ushindi..... download Xtra 90 App



