Ousmane Dembélé ameandika historia katika Kombe la Dunia 2026 baada ya kufunga hat-trick ya haraka zaidi kuwahi kufungwa na mchezaji wa Ufaransa katika historia ya Kombe la Dunia. Cha kushangaza zaidi, hadi siku nne zilizopita, Dembélé alikuwa hajawahi kufunga bao hata moja katika mashindano makubwa akiwa na Les Bleus.
Dembélé alikuwa nyota wa mchezo uliomalizika kwa ushindi wa..... download Xtra 90 App



