Timu ya Taifa ya Misri imeandika historia kwa kutinga hatua ya 32 Bora ya Kombe la Dunia 2026 baada ya kutoka sare ya mabao 1-1 dhidi ya Iran katika mchezo wa mwisho wa Kundi G uliochezwa Seattle.
Matokeo hayo yaliifanya Misri kumaliza hatua ya makundi ikiwa na alama tano baada ya kucheza mechi tatu bila kupoteza, huku Belgium ikiibuka kinara wa kundi hilo kwa tofauti ya mabao kufuatia..... download Xtra 90 App



