Yanga, Simba zachuana kwenye ubingwa hadi mwisho

Joel JJ By Joel JJ β€’ 27th June 2026

Yanga, Simba zachuana kwenye ubingwa hadi mwisho

Mechi za ligi kuu ya NBC raundi ya 29 zimehitimishwa leo kwa vigogo wa soka nchini Ynga na Simba kuendelea kuchuana kwenye mbio za ubingwa baada zote kushinda.

Ikicheza uwanja wa KMC Complex, Yanga ikiwaadhibu TRA United mabao 3-0 kiungo mshambuliaji Allan Okello akifunga hat-trik ya nne msimu huu.

Ushindi huo umeifanya Yanga ifikishe alama 72 na kuendelea kusalia kileleni mwa..... download Xtra 90 App

More Stories

Video Support kuanza kutumika Ngao ya Jamii Zanzibar
Video Support kuanza kutumika Ngao ya Jamii Zanzibar
Today, READ MORE β†’
Simba mbioni kumnasa Mgunda
Simba mbioni kumnasa Mgunda
Today, READ MORE β†’
Arajiga kuziamua Yanga, Simba Ngao ya Jamii Zanzibar
Arajiga kuziamua Yanga, Simba Ngao ya Jamii Zanzibar
Today, READ MORE β†’
Rasmi: Gibril Sillah arejea Azam Fc.
Rasmi: Gibril Sillah arejea Azam Fc.
Today, READ MORE β†’
Upande wa mchezaji ulitubadirikia, Wanasimba Tulieni: Crescentius Magoli
Upande wa mchezaji ulitubadirikia, Wanasimba Tulieni: Crescentius Magoli
Today, READ MORE β†’
Mwalimu atua Zanzibar kujiandaa na Derby apo Kesho
Mwalimu atua Zanzibar kujiandaa na Derby apo Kesho
Today, READ MORE β†’
Azam FC yaaga wachezaji wanne kabla ya msimu mpya
Azam FC yaaga wachezaji wanne kabla ya msimu mpya
Today, READ MORE β†’
Simba haijastushwa na Mwalimu kutua Yanga - Magori
Simba haijastushwa na Mwalimu kutua Yanga - Magori
Today, READ MORE β†’
Umafia waliofanya Yanga kumsajili Mwalimu kutoka Simba
Umafia waliofanya Yanga kumsajili Mwalimu kutoka Simba
Today, READ MORE β†’
Omar Artan Kuchezesha mechi ya Uefa super cup kati ya PSG na Aston Villa.
Omar Artan Kuchezesha mechi ya Uefa super cup kati ya PSG na Aston Villa.
Today, READ MORE β†’