Hatua ya makundi ya Kombe la Dunia 2026 imehitimishwa rasmi, huku timu 32 zikifuzu kwenda hatua ya mtoano itakayoanza leo. Baada ya wiki kadhaa za ushindani mkali, mataifa yaliyoshindwa kufanya vizuri yameaga mashindano, na sasa kila mchezo utakuwa wa kuamua hatma ya timu, ambapo mshindi atasonga mbele na aliyeshindwa ataondolewa.
Toleo la mwaka 2026 limeweka historia kwa kuwa la kwanza..... download Xtra 90 App



