Mzunguko wa mwisho wa NBC Premier League msimu wa 2025/26 utakaochezwa apo kesho unatarajiwa kutoa hatma ya Timu za Fountain Gate, Mbeya City, Mtibwa, na Tanzania Prison ambazo zinapambana kujikwamua kushuka daraja .
Jedwali la ligi linaonyesha ushindani mkubwa kati ya timu hizo nne. Fountain Gate wanashika nafasi ya 12 wakiwa na pointi 30, huku Mbeya City na Tanzania Prisons wakifuatia..... download Xtra 90 App



