Beki wa timu ya taifa ya Afrika Kusini, Mbekezeli Mbokazi, ameibuka kuwa mmoja wa nyota waliovutia zaidi katika Kombe la Dunia la FIFA 2026 baada ya kuonyesha kiwango cha juu katika mechi zote alizoichezea Bafana Bafana. Mbokazi, mwenye umri wa miaka 20, amevutia mashabiki, wachambuzi na vilabu mbalimbali kutokana na uwezo wake wa kujilinda na utulivu aliouonyesha katika mashindano..... download Xtra 90 App



