Michuano ya Kombe la Dunia 2026 inaendelea leo kwa mechi tatu za hatua ya 32 bora zinazotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa, huku mataifa sita yakipambana kuwania tiketi ya kutinga hatua ya 16 bora.
Mchezo wa kwanza utawakutanisha mabingwa mara tano wa dunia, Brazil, dhidi ya Japan kuanzia saa 2:00 usiku (EAT). Brazil wataingia wakiwa na presha ya kuthibitisha ubora wao, wakati Japan..... download Xtra 90 App



