Kocha wa Young Africans SC, Abdihamid Moalin, ameweka wazi msimamo wa kikosi chake kuelekea mchezo wa NBC Premier League dhidi ya JKT Tanzania, akisisitiza kuwa Yanga haiingii uwanjani kwa lengo lingine lolote zaidi ya ushindi.
Akizungumza na waandishi wa habari leo, Moalin alisema maandalizi ya kikosi chake yamekamilika na wachezaji wako tayari kwa pambano hilo..... download Xtra 90 App



