Safari ya Japan katika Kombe la Dunia 2026 imefikia tamati kwa maumivu makubwa baada ya kufungwa 2-1 na Brazil katika hatua ya 32 Bora. Bao la dakika za mwisho kutoka kwa Gabriel Martinelli liliwapa Selecao ushindi wa kusisimua na tiketi ya kutinga hatua ya 16 Bora.
Japan walikuwa wa kwanza kupata bao kupitia Kaishu Sano dakika ya 29 na kwenda mapumzikoni wakiwa mbele. Hata hivyo, Brazil..... download Xtra 90 App



