Uongozi wa Yanga SC umekanusha taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa klabu hiyo ipo katika mazungumzo ya kumuajiri kocha Fadlu Davids, ukisisitiza kuwa hakuna mazungumzo yoyote yaliyofanyika kuhusu suala hilo.
Kupitia afisa habari wa klabu hiyo Ally Kamwe, ameeleza kuwa taarifa hizo si za kweli na hazitokani na uongozi wa klabu. Uongozi huo umebainisha kuwa ongezeko..... download Xtra 90 App



