Ndoto za Ujerumani kutwaa Kombe la Dunia 2026 zimefikia tamati baada ya Paraguay kuibuka na ushindi wa kihistoria wa mikwaju ya penalti kufuatia sare ya 1-1 ndani ya dakika 120 za mchezo wa hatua ya mtoano uliochezwa kwenye Uwanja wa Boston Stadium. Ushindi huo umeifanya Paraguay kuandika moja ya matokeo makubwa zaidi ya kushtua katika mashindano ya mwaka huu na kufuzu hatua..... download Xtra 90 App



