Nani Kuondoka na Kiatu cha Dhahabu NBC ?

Abdulrahman Said By Abdulrahman Said β€’ 30th June 2026

Nani Kuondoka na Kiatu cha Dhahabu NBC ?

Msimu wa ligi kuu Tanzania bara unatarajiwa kutamatika hii leo huku miongoni mwa vita kubwa ukiachilia vita ya ubingwa ni nani atakuwa mfungaji bora wa msimu , hii inakuja kufatia tofauti ndogo ya mabao ya wafungaji hao ambapo kinara Feisal Salumu anaongoza vita hiyo akiwa na mabao 15 huku Allan Okello na Ndumumwe Mossi wakifatia kwa kila mmoja kufunga mabao 14 .

More Stories

Yanga kufanya utambulisho wa Kimataifa kesho , Wananchi waitwa kwa wingi kumshuhudia nyota huyo
Yanga kufanya utambulisho wa Kimataifa kesho , Wananchi waitwa kwa wingi kumshuhudia nyota huyo
Today, READ MORE β†’
Jean Baleke: Nikipigiwa simu na Simba niko tayari kurudi
Jean Baleke: Nikipigiwa simu na Simba niko tayari kurudi
Today, READ MORE β†’
Kocha wa Yanga amwaga sifa kwa Juma Mgunda asema ni Kocha mzuri
Kocha wa Yanga amwaga sifa kwa Juma Mgunda asema ni Kocha mzuri
Today, READ MORE β†’
Mngqithi: Tuna imani tutapata matokeo mazuri dhidi ya Namungo
Mngqithi: Tuna imani tutapata matokeo mazuri dhidi ya Namungo
Today, READ MORE β†’
Bursaspor yamkomalia Oura, yaongeza dau
Bursaspor yamkomalia Oura, yaongeza dau
Today, READ MORE β†’
Akaminko atua Al-Akhdar ya Libya
Akaminko atua Al-Akhdar ya Libya
Today, READ MORE β†’
JKT Tanzania yamnasa Chikola, yampa miaka miwili
JKT Tanzania yamnasa Chikola, yampa miaka miwili
Today, READ MORE β†’
Pazia la ligi kuu 2026/27 linafunguliwa leo
Pazia la ligi kuu 2026/27 linafunguliwa leo
Today, READ MORE β†’
Mkude kuibukia Mashujaa Fc
Mkude kuibukia Mashujaa Fc
Today, READ MORE β†’
Azam yakamilisha usajiri wa kitasa kutoka CongoDR
Azam yakamilisha usajiri wa kitasa kutoka CongoDR
Yesterday, READ MORE β†’