Nahodha mkuu wa kikosi Cha Yanga Bakari Nondo Mwamnyeto atakosekana kwenye mchezo wa Leo kutokana na kuwa na kadi nne za "> Nahodha mkuu wa kikosi Cha Yanga Bakari Nondo Mwamnyeto atakosekana kwenye mchezo wa Leo kutokana na kuwa na kadi nne za ">

Yanga Kumkosa Mwamnyeto Leo

Abdulrahman Said By Abdulrahman Said β€’ 30th June 2026

Yanga Kumkosa Mwamnyeto Leo

Nahodha mkuu wa kikosi Cha Yanga Bakari Nondo Mwamnyeto atakosekana kwenye mchezo wa Leo kutokana na kuwa na kadi nne za njano, Mwamnyeto atakosekana katika mchezo huo wa kufungia msimu dhidi ya jkt Tanzania utakaochezwa majira ya saa 10 jioni katika uwanja wa Maj Gen Isamuyo , Frank Assink anatarajiwa kuwa mbadala wa Mwamnyeto katika eneo la mlinzi wa kati akiungana na Ibrahimu Bacca .

More Stories

Yanga Kumkosa Mwamnyeto Leo
Yanga Kumkosa Mwamnyeto Leo
Today, READ MORE β†’
Arsenal Sio Mabingwa Kama Lile Sio Goli : Klopp
Arsenal Sio Mabingwa Kama Lile Sio Goli : Klopp
Today, READ MORE β†’
Wababe wa Yanga Kuzindua Jezi za Msimu Ujao Leo
Wababe wa Yanga Kuzindua Jezi za Msimu Ujao Leo
Today, READ MORE β†’
Taharuki Yazuka kabla ya kuelekea kwenye Mchezo wa mtoano kati ya Mexico dhidi ya Ecuardo.
Taharuki Yazuka kabla ya kuelekea kwenye Mchezo wa mtoano kati ya Mexico dhidi ya Ecuardo.
Today, READ MORE β†’
Nani Kuondoka na Kiatu cha Dhahabu NBC ?
Nani Kuondoka na Kiatu cha Dhahabu NBC ?
Today, READ MORE β†’
Morocco waing\'oa Uholanzi na kufuzu 16 bora
Morocco waing\'oa Uholanzi na kufuzu 16 bora
Today, READ MORE β†’
Paraguay Yatamatisha Safari ya Ujerumani WC2026, Vilio vya Tawala
Paraguay Yatamatisha Safari ya Ujerumani WC2026, Vilio vya Tawala
Today, READ MORE β†’
Hatuna Mpango na Fadlu : Ally Kamwe
Hatuna Mpango na Fadlu : Ally Kamwe
Today, READ MORE β†’
Brazil wapindua meza kibabe, Na kuiondoa Japan kombe la dunia 2026
Brazil wapindua meza kibabe, Na kuiondoa Japan kombe la dunia 2026
Today, READ MORE β†’
Kocha wa zamani Yanga aibukia Tunisia
Kocha wa zamani Yanga aibukia Tunisia
Today, READ MORE β†’