Mossi kaweka hat-trik nyingine, atwaa ufungaji bora

Joel JJ By Joel JJ • 30th June 2026

Mossi kaweka hat-trik nyingine, atwaa ufungaji bora

Mshambuliaji wa Singida BS Ndumumwe Mossi amefunga hat-trik yake ya pili msimu huu licha ya klabu yake kukubali kipigo cha mabao 4-3 dhidi ya Fountain Gate katika mchezo wa mwisho uliopigwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid.

Mossi ameibuka kuwa mfungaji bora baada ya kufikisha mabao 17 akimpiku Feisal Salum 'Fei Toto' wa Azam Fc ambao licha ya kuongoza mbio hizo kwa muda mrefu, amemaliza msimu na mabao 15.

Nafasi ya tatu imeenda kwa Allain Okello ambaye ameweka kambani mabao 14.

More Stories

Norway yaitoa Côte d’Ivoire, ikitinga hatua ya 16 bora kombe la dunia

Today, READ MORE →
Mossi kaweka hat-trik nyingine, atwaa ufungaji bora
Mossi kaweka hat-trik nyingine, atwaa ufungaji bora
Today, READ MORE →
Yanga yatwaa ubingwa ligi kuu kwa msimu wa tano mfululizo

Yanga Kumkosa Mwamnyeto Leo
Yanga Kumkosa Mwamnyeto Leo
Today, READ MORE →
Arsenal Sio Mabingwa Kama Lile Sio Goli : Klopp

Wababe wa Yanga Kuzindua Jezi za Msimu Ujao Leo

Taharuki Yazuka kabla ya kuelekea kwenye Mchezo wa mtoano kati ya Mexico dhidi ya Ecuardo.

Nani Kuondoka na Kiatu cha Dhahabu NBC ?

Morocco waing\'oa Uholanzi na kufuzu 16 bora

Paraguay Yatamatisha Safari ya Ujerumani WC2026, Vilio vya Tawala