Uongozi wa JKT Tanzania umetoa salamu za pole na kuomba radhi kufuatia jeraha alilopata kiungo wa Yanga SC, Pacome Zouzoua, katika mchezo wa mwisho wa msimu wa 2025/26 wa NBC Premier League uliochezwa Juni 30, 2026 kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Dar es Salaam.
Kupitia taarifa rasmi, uongozi wa JKT Tanzania umesema umeguswa na tukio hilo na umeomba radhi kwa niaba ya mchezaji..... download Xtra 90 App



