Vita ya ufungaji bora kombe la dunia 2026 imeendelea kushika baada ya apo jana Nahodha na mshambuliaji wa ufaransa Klyian Mbappe kupachika kambani mabao mawili katika ushindi wa mabao matatu wa taifa lake dhidi ya Sweden kwenye mchezo wa 32 bora.
Mabao hayo yanamfanya Nahodha huyu wa ufaransa kufikisha jumla ya mabao sita akilingaana na mshambuliaji wa Argentina..... download Xtra 90 App



